Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uganda na Kenya zapendwa na wataalam Afrika
Orodha ya maeneo mazuri na mabaya ya kuishi kwa wataalam imetolewa, na Uganda imeorodheshwa kama taifa linalopendelewa sana barani Afrika.
Taifa hilo limeorodheshwa nambari 25 duniani ,kulingana na utafiti uliochapshwa na Expat Insider.
Orodha hiyo ni kulingana na
- Eneo lililo rahisi kuishi.
- Kujifunza lugha inayotumiwa na wakaazi.
- Na maisha ya kifamilia.
Kenya imeorodheshwa ya Pili Barani Afrika na ya 46 duniani.
Taifa la Nigeria limeorodheshwa la mwisho kutokana na hali ya maisha na gharama ya kuishi lakini limeonekana kuimarika ikilinganishwa na mwaka uliopita.