BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Rais mteule wa Uganda Yoweri Museveni asema alitarajia kushinda kwa kura zaidi ya alizopata
Siku moja baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, Museveni amesema upinzani ungeaibika ingekuwa wanachama wake wote milioni 10 wangejitokeza kupiga kura.
Watoto wangu waliingizwa katika biashara haramu ya binadamu. Nilijiunga na polisi kuwasaka
BBC Africa Eye yaungana na kitengo cha polisi cha kupambana na biashara haramu nchini Sierra Leone kumsaidia mwanaume mmoja kuwatafuta watoto wake waliopotea.
Je, Morocco walipendelewa kwenye fainali ya Afcon 2025?
Tukio kuu katika fainali hiyo litakalosalia katika kumbukumbu ya historia ya michuano hiyo ni katika dakika ya 98 pale Senegal waliopotoka uwanjani na kususia mechi hiyo kwa muda wa dakika 17.
Marekani inaamini nguvu yake ina uzito zaidi kuliko sheria za kimataifa, Mkuu wa UN aiambia BBC
Marekani inafanya kazi bila kuadhibiwa na inaamini mamlaka yake ni muhimu zaidi kuliko sheria za kimataifa, mkuu wa Umoja wa Mataifa ameiambia BBC
'Balozi wa soka la Afrika' - Mane ni shujaa wa Senegal katika Afcon
Katika dakika za mwisho, kocha mkuu wa Senegal, Pape Thiaw, alijaribu kuwatoa wachezaji wake uwanjani baada ya Morocco kupewa penalti dakika ya 98 wakati mlinzi El Hadji Malick Diouf alipomwangusha Brahim Diaz.
Maandamano Iran: Je, Kim Jong-un ana wasiwasi?
Je, Korea Kaskazini, ambayo, kama Iran, imekuwa chini ya vikwazo vikali na shinikizo la kiuchumi kwa miaka mingi, inatathmini vipi maandamano ya Iran?
Diaz atakuwa na 'ndoto mbaya' kwa kukosa 'Panenka'
Brahim Diaz alikuwa na nafasi ya kuishindia Morocco Afcon Morocco, lakini uamuzi wake wa kujaribu Panenka iliitumbukia nyongo baada ya Senegal kushinda mchezo katika muda wa ziada.
Ushindi wa muhula wa saba wa Museveni unamaanisha nini kwa Uganda?
Yoweri Museveni ameshinda muhula wa saba katika uchaguzi baada ya kuahidi kuwa sekta changa ya mafuta itainua uchumi.
Senegal mabingwa wapya wa AFCON 2025
Senegal wametwaa taji lao la pili la michuano ya AFCON baada ya taji la kwanza walilotwaa mwaka 2022.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Chelsea iko tayari kumuuza Fernandez
Chelsea imeiambia Real Madrid kuwa inaweza kumuachia Enzo Fernandez, Man Utd inamtaka Joao Gomes na Nottingham Forest iko mbioni kumsajili Lorenzo Lucca.
Waganda waonywa dhidi ya kutumia VPN kufikia mitandao ya kijamii iliyodhibitiwa
Muunganisho wa intaneti umerejeshwa kote nchini Uganda baada ya kuzimwa kwa zaidi ya siku tatu.
Maoni: Utawala wa kimabavu huporomoka polepole, lakini wa Iran haujafikia huko
Waandamanaji nchini Iran na wafuasi wao nje ya nchi wana matumaini kwamba utawala wa Kiislamu jijini Tehran uko katika hatua ya kuporomoka. Hilo ni kweli?
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Sababu zilizofanya Somalia iwe na ghadhabu kali dhidi ya UAE
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
'Ananyanyaswa na kufuatiliwa kila hatua': Nyota wa muziki anayemkabili rais wa muda mrefu wa Uganda
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
Rais Trump ana lengo gani hasa na Iran?
Wakati ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya kupinga serikali ukiendelea, rais wa Marekani anatafakari ni jinsi gani bora ya kushughulikia hilo.
Uchaguzi Uganda 2026: Waganda wengi ni vijana – Watamchagua Mzee wa miaka 81?
Katika viwanja vya umma vilivyojaa watu na mikusanyiko ya kando ya barabara, wafuasi vijana wanaoimba nyimbo za chama na kupiga picha kwenye simu zao, ndio wengi kuliko watu wengine wote.
Kuolewa nikiwa na miaka 40: ''Hakuna kikomo cha umri wa kupata upendo wa kweli"
"Wazo la mara kwa mara kwamba mwanamke mmoja baada ya miaka 35 au 40 ni 'hakamiliki,' 'ana madai makubwa' au 'amepoteza maisha' linaacha alama, kwa sababu linapuuzia mafanikio mengine, ukomavu, na safari ya maisha," anashughulikia.
Jinsi majasusi na makomando wa Marekani walivyomnasa Maduro
Operesheni hiyo ya aina yake iliyopewa jina la "Operation Absolute Resolve" inaonyesha jinsi vikosi vya Marekani vilivyoingia kwenye makazi ya Rais wa Venezuela na kumteka.
Ni nchi zipi zinaweza kulengwa na Trump baada ya Venezuela?
Trump ametoa vitisho vingi dhidi ya mataifa mengine katika siku za hivi karibuni.
Mambo 7 unayopaswa kujua kabla ya kununua gari
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
Sababu 5 za kutazama siku zijazo kwa matumaini
Katikati ya kile kinachoonekana kuwa wimbi la habari na matukio ya kuvunja moyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini.
Maduro ni nani na kwanini Marekani imemkamata?
Milipuko ilisikika katika mji mkuu wa Caracas wakati Rais Nicolas Maduro alipokamatwa na jeshi la Marekani
Kutoka Noriega hadi Maduro fahamu viongozi waliowahi kukamatwa au kuangushwa na Marekani
Historia ya kisiasa ya Marekani imejaa visa vingi vya kuvamia nchi za kigeni ili kukamata viongozi. Tukio la sasa la kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, linadhihirisha mtindo huu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 20 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 19 Januari 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 19 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 19 Januari 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































